Posted on: July 16th, 2020
Wishoni mwa mwezi June 2020, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi ilipokea zaidi ya bilioni 3.4 kutoka serikali kuu kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule za msingi 10, sekondari 5 na zahanati 1...
Posted on: July 13th, 2020
HOSPITALI mpya ya Wilaya ya Masasi mkoani MTWARA iliyojengwa na serikali katika kijiji cha Mbuyuni kata ya Mbuyuni kwa gharama ya zaidi ya bilioni 1.5 imeanza kutoa hudum...
Posted on: June 10th, 2020
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Masasi limefika ukomo wake leo rasmi tarehe 10 Juni, 2020 tangu lilipoaanzishwa rasmi tarehe 10 Desemba, 2015.
Akizungumza kwenye Mkutano Maalum wa Baraz...