• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA VIJIJI NA KATAWAPATIWA MAFUNZO MAALUM YANAYOLENGA NAMNA YA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

Posted on: September 30th, 2024

Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Vijiji na Kata Halmashauri ya Wilaya ya Masasi wapatao 220, leo tarehe 30/09/2024 wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga Kutoa mwongozo wa namna ya kusimamia Shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajia kufanyika Nov 27,2024.

Akifungua mafunzo hayo ambayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa Halmashauri hiyo uliopo Masasi mjini, Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya Masasi Bi.Beatrice Mwinuka amesema kwamba wamekutana hapo ili kupeana miongozo mbalimbali itakayo wawezesha kusimamia kwa uadilifu uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuchagua Viongozi katika maeneo yao kwa maana Mwenyekiti wa Kijiji, Kitongoji na wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji.

"Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa ndio dira ya Uchaguzi Mkuu wa hapo mwakani, hivyo kinachotakiwa ni kusimamia vizuri taratibu zote za Uchaguzi kwa kuzingatia 4R za mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwaiyo leo tunawapitisha kwenye mada mbalimbali ikiwemo Uandikishaji wapiga kura,Sifa za mpiga kura, Sifa za mgombea, uchukuaji na urejeshaji wa fomu kwa mgombea,kampeni uteuzi, rufani n.k ili mjue sasa nini ambacho kinatakiwa katika kusimamia" alisema Mwinuka.

Hata hivyo Mwinuka ameendelea kuwasisitiza washiriki hao kila mmoja kwa nafasi yake awajibike kwenye eneo lake ipasavyo kwa kuzingatia maelekezo na miongoni waliyopatiwa ili waweze kufanikisha zoezi hilo.


Mafunzo hayo pia yameenda sambamba na uapishwaji kwa washiriki hao ambapo wamekula kiapo Cha uaminifu na utunzaji Siri, pamoja na kiapo cha utii na uadilifu zoezi lililo ongozwa na Hakimu  kutoka Mahakama ya Wilaya Masasi.

Kwa upande wake Mratibu wa Uchaguzi  Mkoa wa Mtwara Bi.Edith Shayo pamoja na kuwashukuru washiriki hao kushiriki mafunzo hayo ambayo ndio kielelezo kwao katika usimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia  amesema Katika Mkoa wa Mtwara Halmashauri ya Wilaya Masasi inaongoza kwa ukubwa ukitofautisha na Halmashauri zingine zilizopo ndani ya Mkoa hivyo ni matumaini yake kupitia mafunzo hayo watazingatia kanuni na miongozo waliyopatiwa ili waweze kufanya vizuri katika usimamizi na Uchaguzi huo ufanyike vizuri na kuwa kielelezo katika maeneo mengine.

Uchaguzi huo wa Serikali za Mitaa ambao unatarajia kufanyika Nov 27,2024 unaongozwa na kauli mbiu isemayo* Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, jitokeze kushiriki Uchaguzi "

30/09/2024

@.. Masasi DC


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI NA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 15, 2025
  • WATAALAMU MASASI DC WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UJIBUJI HOJA ZA CAG.

    May 11, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa