Katika picha ni Mkuu wa Wilaya Masasi mhe.Lauteri John Kanoni akipata maelezo mafupi kuhusu mtungi maalumu wa kuhifadhia mbegu (liquid nitrogen).
Afisa Mifugo na mtaalamu wa uhimilishaji Bw. Christopher Paul Kawogo ameelezea faida za mtungi huo ambao ndani yake una liquid na nitrogen ya kuhifadhia mbegu za uhimilishaji wa ng'ombe aina zote wa kienyeji na maziwa, kuhifadhia seli hai,na kuhifadhia sampuli za vimelea mbali na magonjwa ya mifugo na binadamu.
Liquid Nitrogen iliyo katika hali ya kimiminika chenye joto la chini sana la nyuzi joto _195.79c
kinachozalishwa kwa mtambo maalumu Liquid Nitrogen.
Ifahamike kuwa Chuo Kikuu Cha Kilimo Sokoine (SUA) tarehe 10/01/2020 kilizindua mtambo wa kutengeneza Liquid Nitrogen.
09/08/2024
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa