halmashauri ya wilaya ya masasi inategemea zaidi shughuli za kilimo kukusanya mapato ya ndani. mazao yanayolimwa zaidi ni Korosho, ufuta, choroko , mahindi na mazao mengine ya mikundekunde. aidha zao la korosho ndio mhimili mkuu wa uchumi kwa Halmashauri na wananchi wa masasi
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa