Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mnatangaziwa kuwa fomu kwa wanaotaka kuwekwa kwenye mpango wa mafunzo wa mwaka 2019/2020 zinapatikana kwa lugha mbili (Kiswahili na Kiingereza). Hivyo pakua (download) na kuijaza. Mwisho wa kuwasilisha fomu za mpango wa mafunzo kwa Afisa Utumishi Wilaya (DHRO) ni tarehe 14/06/2019.
Bofya maandishi ya rangi ya bluu kupata fomu za mpango wa mafunzo kwa mwaka wa masomo 2019/2020
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa